Endesha duka lako kwa urahisi zaidi.
Mauzo, bidhaa, wateja na ripoti—vyote sehemu moja. DukaLangu inakusaidia kufanya maamuzi bora na kukuza biashara bila usumbufu.
1 Fungua akaunti
2 Sajili duka
3 Ongeza bidhaa
4 Uza bidhaa
Habari, mfanyabiashara 👋Muhtasari wa leo
Mubashara
Mwenendo wa mauzoSiku 7
J3J4J5AlhIjuJmoJpi
Stoo iko vizuri!Bidhaa 286 zinapatikana
Mauzo mapya+ TSh 24,000
Mteja mpyaKaribu dukani!
Mauzo ya harakaHudumia wateja kwa sekunde
Stoo iliyo nadhifuJua kilichopo muda wote
Ripoti zinazoelewekaFanya maamuzi kwa uhakika
Taarifa salamaBiashara yako inalindwa